Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azizi KI: Feisal ni rafiki yangu, Nafurahi akifunga

Fei Toto Amfunika Aziz Ki Ligi Kuu Azizi KI: Feisal ni rafiki yangu, Nafurahi akifunga

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati akifunga mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji na kuikamata chati ya ufungaji kwa kufikisha mabao 17.

Mashabiki na wapenda kandanda walitaka kusikia ni namna gani Kiungo Stepeh Aziz KI anajisikia baada ya mabao hayo huku akimuacha Feisal Salum wa Azam alie na mabao 16.

Akizungumza mara baada ya mchezo Aziz KI anasema;

Ninafurahi kuona Feisal anafunga, nawaona watu wakimuongelea vibaya na vizuri Feitoto, yeye kuendelea kufanya vizuri hata mimi ninafurahia kiwango chakeā€

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: