Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz Ki sio mzuri kwenye mipira ya kutenga - Ngereza

Aziz Ki Tena Aziz Ki.

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa michezo nchini kupitia TV3, Alex Ngereza amedai kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki sio mzuri kwenye kupiga mipira ya kutenga kama ambavyo amekuwa akisifiwa na watu.

"Sio kwamba Azizi ki ni mzuri sana kwenye mipira ya kutenga 'hapana' ila magolikipa wetu wengi sio wazuri kuzuia mipira ya mbali.

"Hili sio tatizo la Tanzania ni tatizo la Magolikipa wengi kutoka Africa kwasababu hawakui kwenye misingi halisi ya soka," amesema Alex Ngereza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live