Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz Ki na wenzake watinga 16 Bora

Burkinafasso (1) Aziz Ki na wenzake watinga 16 Bora

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Angola imefuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 sambamba na AZIZ KI na wenzake wa Burkina Faso huku Riyard MAHREZ na wenzake wa Algeria wakisukumizwa NJE.

FT: Angola 2-0 Burkina Faso (Mabululu 36)

FT: Mauritania 1-0 Algeria (Dellahi 37)

MSIMAMO KUNDI D Angola..........Pts 7 Burkina Faso...Pts 4 Mauritania.......Pts 3 Algeria...............Pts 2

Mauritania ipo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kufuzu hatua ya 16 bora kupitia nafasi nne za ‘best looser’

Chanzo: www.tanzaniaweb.live