Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz Ki mchezaji bora wa mwezi wa Yanga

Stephen Aziz KI Vs Geita.jpeg Stehpane Aziz Ki.

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stehpane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga kwa mwezi Machi.

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stehpane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga kwa mwezi Machi. Aziz amewashinda beki Ibrahim Bacca na kiungo Mudathir Yahya ambao ameingia nao Fainali. , Stehpane Aziz Ki atakabidhiwa kitita cha shilingi milioni 3 kutoka kwa wadhamini wa tuzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: