Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz Ki hawezi kwenda kucheza Afrika Kusini

Kazi Aziz Ki 4 04 23 At 13.jpeg Aziz Ki hawezi kwenda kucheza Afrika Kusini

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maneno ya Ofisa habari wa Yanga SC amesema alikamwe akielezea kuhusu mkataba wa Aziz Ki na klabu ya Yanga.

“Aziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni kama kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ile.

“Ziko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga, wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia kwenye kikosi chetu,” amesema Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live