Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz Ki auwasha moto Burkina Faso

Aziz KI National Team Aziz Ki auwasha moto Burkina Faso

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Wananchi Yanga, Stephen Azizi Ki alikuwa sehemu ya Kikosi Cha timu ya Taifa ya Burkina Faso kilichoshuka Dimbani hapo Jana kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Iran.

Burkina Faso wanafanya maandalizi ya kujiweka sawa kabla ya AFCON , michuano ambayo itapigwa pale Ivory Coast siku Chache zijazo.

Iran walishinda mabao 2-1 huku Stephen Azizi Ki akicheza dakika zote 90 kunako mtanange huu wa kirafiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live