Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz Ki aikosa tuzo ya mchezaji bora

Aziz KI Guard Of Honour.jpeg Aziz Ki

Sat, 15 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki ameshindwa kubeba tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Burkina Faso baada ya kushindwa mbele ya bingwa wa Bundesliga, Edmund Tapsoba.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki ameshindwa kubeba tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Burkina Faso baada ya kushindwa mbele ya bingwa wa Bundesliga, Edmund Tapsoba. Tapsoba kwa sasa anahusishwa kusajiliwa na Klabu ya Paris Saint Germany (PSG) ya nchini Ufaransa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live