Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI mchezaji bora wa mwezi Ligi Kuu

Aziz KI Mchezaji Bora Wa Mwezi.jpeg Stephen Aziz KI

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amechaguliwa na Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba 2023 baada ya kuwashinda Moses Phiri wa Simba SC na Max Nzengeli kutoka Yanga SC alioingia nao fainali ya mchakato wa tuzo hizo za mwezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: