Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI mchezaji Bora wa Mwezi

Aziz KI Mpira Aziz KI mchezaji Bora wa Mwezi

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo.

Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo. Aziz Ki atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni 4 na tuzo kama ilivyobainishwa awali na mdhamini wa tuzo hiyo ambaye ni Kampuni ya NIC Insurance.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: