Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI 'man of the match' Toyota Cup

Aziz Ki Kaizer Aziz KI 'man of the match' Toyota Cup

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga Sc, Stephane Aziz Ki amejinyakulia kitita cha R5000 (Tshs 738,500) baada ya kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa mechi ya Toyota Cup kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Young Africans.

Kiungo wa Yanga Sc, Stephane Aziz Ki amejinyakulia kitita cha R5000 (Tshs 738,500) baada ya kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa mechi ya Toyota Cup kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Young Africans. Mchezo huo ni mahsusi kwa ajili ya Kaizer Chiefs (Kaizer Chiefs Day) ambayo unadhaminiwa na Kampuni ya Toyota huku Wananchi walitwaa kombe hilo ambalo limeanza kushindaniwa kwa mara ya kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: