Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI kiungo bora 2023/24

Aziz Ki AAwCYm.jpeg Aziz KI kiungo bora 2023/24

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa NBC Premier League 2023/24 kiungo wa Yanga SC Stephane Aziz Ki amepewa zawadi ya kwenda Dubai kukaa siku 4 akiwa na mwenza wake.

Aziz Ki ametwaa tuzo tatu katika usiku wa tuzo za TFF (NBC PL)

1: Mfungaji bora

2: Kiungo bora

3: Mchezaji bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live