Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI hajawahi kufunga bao la kichwa

Aziz Ki242215 Aziz KI hajawahi kufunga bao la kichwa

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je wajua kuwa Ki Aziz Stephane (28) Hajawahi kufunga Goli kwa kichwa? Kupitia Mtandao wa kimataifa wa Burkina Faso umeripoti kuwa Nyota Huyo hajawahi kufunga goli kwa kichwa kwenye Mashindano Rasmi tangu Anze soka.

Mpaka sasa Ki Aziz amefunga Jumla ya magoli 29 kwenye Mashindano yote tangu ajiunge na Yanga msimu wa 2022/23 akitokea Asec Mimosas.

Katika Magoli 29 ambayo Ki Aziz Amefunga tangu ajiunge Yanga hajafunga goli la kichwa ametuma sana kufunga kwa Mguu wa kushoto (LEFT FOOTER).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live