Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI azungumza haya kuhusu penzi lake na Mobetto

Aziz Ki Mobetto Aziz KI na Mobetto

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshabmbuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephanie Aziz KI ameulizwa na wanahabari kuhusu ukaribu wake na mwanadada mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Fleva na Bongo Movies, Hamisa Mobetto.

Itakumbukwa kuwa, Aziz KI na Mobetto wameonekana wakiwa karibu kwa siku za hivi karibuni hasa siku ambayo Yanga walikuwa wakikabidhiwa Ubingwa wa Ligi kuu, nyota hao walionekana uwanjani pamoja tena kwenye pozi tata la kimahaba.

Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua iwapo Aziz KI ana mahusiano ya kimapenzi na Mobetto, Aziz amesema; “Aaah sijui chochote rafiki yangu....” Kisha akacheka sana na kuondoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live