Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI aweka rekodi ya pekee Ligi Kuu

IMG 4127.jpeg Aziz KI aweka rekodi ya pekee Ligi Kuu

Wed, 24 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso ndiye anaongoza kufunga mabao kwa mguu wa kushoto katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso ndiye anaongoza kufunga mabao kwa mguu wa kushoto katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Aziz KI amejiunga na Yanga Dieisha kubwa la usajili lililopita akitokea klabu ya ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: