Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI atwaa Tuzo ya MVP 2023/24

Aziz KiiiRNnK.jpeg Aziz Ki

Fri, 2 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya NBC (MVP) 2023/24 kwa kuwashinda Feisal Salum (Azam FC), Kipre Junior (Azam FC), Djigui Diarra (Yanga SC) na Lay Matampi (Coastal Union), Ibrahim Bacca (Yanga), Kouassi Yao (Yanga) na Mohamed Hussein (Simba SC).

Aziz Ki ametwaa tuzo tatu katika usiku wa tuzo za TFF (NBC PL)

1: Mfungaji bora

2: Kiungo bora

3: Mchezaji bora

Aziz Ki MVP 2023/2024 (NBC PL)

Blueberry travel ni miongoni mwa wadhamini waliotoa zawadi kwa (MVP)

Ukitoa pesa:

◉ Aziz Ki anatakiwa asafiri Kuelekea Dubai kula bata kwa siku nne.

◉ Gharama zote watalipa wao ikiwemo hoteli ya nyota (5), usafiri wa kifahari, chakula, nauli kwenda na kurudi.

◉ Pia anatakiwa kwenda na mpenzi wake, Hamisa Mobetto ameulizwa kama yuko tayari kwenda naye? Faster kajibu NDIYO.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live