Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI atatamba kama msimu uliopita?

Dube Aziz Maxi Aziz KI, Dube na Maxi

Wed, 28 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aziz Ki 23|24 tuzo hizi anastahili :

◉ (MVP) Mchezaji bora ligi kuu ☑️

◉ Kiungo bora ligi kuu ☑️

◉ Mfungaji bora ligi kuu ☑️

What a season!

Aziz Ki amekuwa mchezaji wa (1) wa Yanga SC kufikisha magoli 20+ ligi kuu Tanzania bara tangu Hamis Tambwe afanye hivyo mwaka 2016.

◎ 15 | 16 - Amiss Tambwe - 21 ⚽

◎ 16 | 17 - Simon Msuva - 14 ⚽

◎ 17 | 18 - Obrey Vhirwa - 14 ⚽

◎ 18 | 19 - Makambo - 17 ⚽

◎ 19 | 20 - Molinga - 12 ⚽

◎ 20 | 21 - Yacouba Songne - 8 ⚽

◎ 21 | 22 - Mayele - 16 ⚽

◎ 22 | 23 - Mayele - 17 ⚽

◉ 23 | 24 - Aziz Ki - 21 ⚽

Aziz Ki amekuwa mchezaji wa (3) ndani ya miaka (15) ligi kuu Tanzania bara kufikisha magoli (21+)

◎ 15 | 16 - Amissi Tabwe - 21 ⚽

◎ 18 | 19 - Meddie Kagere - 23 ⚽

◉ 23 | 24 - Stephane Aziz Ki - 21 ⚽

Aziz Ki amekuwa kiungo wa (1) kwenye historia kufikisha magoli (21) katika msimu (1) ligi kuu Tanzania bara.

Aziz Ki amekuwa mchezaji wa (1) kufunga magoli (4) ya Free kick ndani ya msimu 1 ligi kuu Tanzania bara ndani ya miaka (15) iliyopita (Huko nyuma sina data).

Aziz Ki amekuwa mchezaji wa (1) tangu tuzo za mwezi zianzishwe kutwaa tuzo (3), mwezi huu May anaenda kutwaa ya (4) ndani ya msimu 1.

Aziz Ki ameivunja rekodi ya Mohamed Hussein 'Mmachinga', amekuwa mchezaji wa (1) kuhusika kwenye magoli mengi (29) ligi kuu Tanzania bara ndani ya msimu (1) tangu ligi ianzishwe.

1. Mabao 21, assists 8 = 29 — Aziz Ki

2. Mabao 26, assists 2 = 28 — Mmachinga.

Kama angecheza mechi zote kama Feisal nadhani angeivunja pia rekodi ya Mmachinga ya kufunga magoli mengi zaidi ndani ya msimu (1)... Kumbuka ni kiungo.

Vinara wa magoli 22|24 :

1. Mechi 27 mabao ⚽ 21 assists 8 — Aziz Ki

2. Mechi 30 mabao ⚽ 19 assists 7 — Feisal Salum.

3. Mechi 29 mabao ⚽ 12 assists 1 — Waziri Junior.

4. Mechi 26 mabao ⚽ 11 assists 3 — Ntibazonkiza.

...Mechi 30 mabao ⚽ 11 assists 2 — Maxi Nzengeli

5. Mechi 29 mabao ⚽ 09 assists 3 — Mudathir.

...Mechi 28 mabao ⚽ 09 assists 3 — Tchakei.

Aziz Ki ndiye mchezaji pekee msimu huu aliyefunga hat-trick (2).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live