Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI ashinda bao Bora la wiki Nusu Fainali CAFCC

Aziz Ki Goli Bora Stephen Aziz KI

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la Kiungo wa Yanga SC Stephanie Aziz Ki alilofunga dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Mei 10, 2023 limechaguliwa kuwa goli bora la wiki la michuano ya kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: