Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI akabidhiwa zawadi ya mchezaji Bora Yanga

Aziz KI Zawadi.jpeg Aziz KI akabidhiwa zawadi ya mchezaji Bora Yanga

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Yanga SC kwa mwezi Oktoba akiwaangusha beki mzawa, Dickson Job na kiungo Mkongo, Maxi Mpia Nzengeli.

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Yanga SC kwa mwezi Oktoba akiwaangusha beki mzawa, Dickson Job na kiungo Mkongo, Maxi Mpia Nzengeli. Kwa ushindi huo, Aziz Ki aliyefunga mabao yote matatu katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Azam FC Oktoba 23 atazawadiwa kitita cha Sh. Milioni 4 kutoka kwa wadhamini, Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: