Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aziz KI Mchezaji Bora wa mwezi Ligi Kuu

Aziz Ki 04244 Kiungo wa Yanga, Stephen Aziz KI

Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu mwezi Aprili akiwashinda wachezaji Jean Baleke wa Simba na Ayoub Lyanga wa Azam FC.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu mwezi Aprili akiwashinda wachezaji Jean Baleke wa Simba na Ayoub Lyanga wa Azam FC. Kwa upande wa makocha ni Abdallah Mohammed wa Mbeya City aliyeshinda tuzo hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live