Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam yatangulia fainali ya shirikisho

Azam Vs Coastal Azam yatangulia fainali ya shirikisho

Sat, 18 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la shirikisho baada ya kuwakanda Coastal Union ya Tanga 3-0

Mchezaji Abdul Selemani Sopu aliwaadhibu waajiri wake wa zamani kwa kufunga mara mbili na kutengeneza moja kwa Feisal Salum kwenye ushindi huo

Azam FC sasa wanamsubiri mshindi kati ya Yanga SC na Ihefu kwenye fainali

Chanzo: www.tanzaniaweb.live