Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam yatakata mbele ya Singida Big Star

Azam  Singida Azam yatakata mbele ya Singida Big Star

Tue, 4 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Azam FC imekwea hadi nafasi ya 3 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya kuondoka na alama 3 katika mchezo dhidi a vijana wa Liti, Singida Big Stars uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Katika mchezo huo wa kuvutia uliokuwa na ushindani mkali, goli pekee na la ushindi limefungwa na Sospeter Bajana kunako dakika za lala salama katika kipindi cha kwanza.

Kwa kipigo hicho, Singida BS wanabaki kwenye nafasi ya 6 wakiwa na alama 8 kibindoni ikiwa na mchezo mmoja mkononi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live