Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam yashusha fundi mwingine usiku huu

FB IMG 1657825099741 Azam yashusha fundi mwingine usiku huu

Thu, 14 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klqbu ya Azam imeingia mkataba wa miaka miwili na kiungo mshambuliaji, Mghana James Akaminko, akitokea Great Olympic.

Akaminko, 26, ambaye ni mmoja wa viungo wabunifu, aliwahi kucheza soka la kulipwa nchini Tunisia katika timu ya US Tataouine, pia amepita kwa vigogo wa Ghana, Ashanti Gold na Medeama.

Mbali na kucheza eneo la ushambuliaji, pia anao uwezo wa kucheza kama kiungo mkabaji, na anakuja kuongeza nguvu katika eneo la kiungo kuelekea msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live