Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam yamuwinda Straika wa Vipers

FCUWNZqXsAs7dab Yunus Sentamu

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mazungumzo kati ya Vipers SC na mshambuliaji wao Yunus Sentamu ya kuongeza mkataba wake kusalia kunako klabu hiyo yamesimama.

Mshambuliaji huyo anataka kuondoka kunako klabu hiyo baada ya miaka 4 na klabu hiyo.

Klabu kutoka India wapo katika mazungumzo na wawakilishi wa mchezaji huku pia AZAM kutoka Tanzania nao wapo kwenye mazungumzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live