Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam yajibu kuhusu kumuuza Fei Toto Simba

Fei Toto Sainii.jpeg Azam yajibu kuhusu kumuuza Fei Toto Simba

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Habari wa Azam Fc, Hasheem Ibwe ameeleza kuwa Kiungo wao Feisal Salum (Fei Toto) hauziwi na kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni mind game kujaribu kuwatoa Azam mchezoni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakao pigwa Jumapili Oktoba 22, 2023 kwenye Dimba la Azam Complex.

Afisa Habari wa Azam Fc, Hasheem Ibwe ameeleza kuwa Kiungo wao Feisal Salum (Fei Toto) hauziwi na kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni mind game kujaribu kuwatoa Azam mchezoni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakao pigwa Jumapili Oktoba 22, 2023 kwenye Dimba la Azam Complex. “Hakuna ofa yoyote iliyokuja ya kumtaka Fei Toto na Fei kwa sasa hauzwi” Ibwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live