Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam yaipeleka Simba kwa Mkapa

Uwanja Wa Mkapa Ksamd Azam yaipeleka Simba kwa Mkapa

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Saa 12 jioni katika uwanja huo, huku ikikumbukwa katika mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

Azam FC imekuwa ikiutumia uwanja huo kwa michezo yake ya nyumbani dhidi ya timu za Simba SC na Yanga SC na mchezo wao na Yanga SC ulichezwa hapo na waliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live