Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam watangaza "Kisasi" mchezo wa marudiano Kimataifa

KISASI Azam FC Azam watangaza "Kisasi" mchezo wa marudiano Kimataifa

Wed, 23 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imetangaza kauli mbiu ya "La Revancha!" ikiwa na maana ya "Kisasi" kuelekea mchezo wake wa marudiano Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Bahir Dar Kenema FC ya Ethiopia siku ya Ijumaa saa 1:00 usiku.

Klabu ya Azam FC imetangaza kauli mbiu ya "La Revancha!" ikiwa na maana ya "Kisasi" kuelekea mchezo wake wa marudiano Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Bahir Dar Kenema FC ya Ethiopia siku ya Ijumaa saa 1:00 usiku. Mchezo wa kwanza ambao Bahir walichezea nyumbani kwao Ethiopia, waliibuka na ushindi goli 2-1 hivyo Azam wanao mlima wa kupanda ili kupindua matokeo hayo waweze kusonga hatua inayofuata.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live