Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam washusha Kiungo matata toka Mali, Cheickna Diakite

Azam FC Diakite Azam washusha Kiungo matata toka Mali, Cheickna Diakite

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Mali, Cheickna Diakite, waliyemnunua kutoka miamba ya huko, Real Bamako.

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Mali, Cheickna Diakite, waliyemnunua kutoka miamba ya huko, Real Bamako. Nyota huyo chipukizi, 19, aliyepachikwa jina la staa wa Real Madrid Mbappe, kutokana na kasi na uwezo wake wa kuipenya safu ya ulinzi ya timu pinzani, amesaini mkataba wa miaka mitatu utakaomfanya kudumu ndani viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2027.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live