Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam warudi Uwanja wa Mazoezi

IMG 4091 Azam Prep.jpeg Azam FC inajiwinda na mchezo wa Fainali ya Azam Sports Federation

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Azam FC jana Jumanne kimeanza mazoezi kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Mei 24 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Huo ni mchezo mmoja kati ya miwili ya Azam iliyosalia, mwingine dhidi ya Polisi Tanzania Mei 28 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Mechi iliyopita Azam FC ilitandikwa mabao 2-1 na Namungo nyumbani Azam Complex.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live