Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam wapambana kumbakisha Mustapha

Azam Gollie Mohamed Mustapha

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Azam FC upo kwenye hatua za mwisho za kumsajili moja kwa moja golikipa wake,Mohamed Mustapha ambaye yupo Klabuni hapo kwa Mkopo akitokea Al Mereikh

Uongozi wa Azam FC upo kwenye hatua za mwisho za kumsajili moja kwa moja golikipa wake,Mohamed Mustapha ambaye yupo Klabuni hapo kwa Mkopo akitokea Al Mereikh Mustapha alisaini mkataba wa miezi 6 na Azam ila baada ya kufurahishwa na kiwango chake wanataka kumsajili moja kwa moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: