Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam wanamwaga wino kimya kimya

EC25CD06 288B 41DC B92A DAE9E48EEC6A.jpeg Abdallah Kheri 'Sebbo' akiwa na Abdulkarim Amin

Mon, 31 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki Mzanzibari, Abdallah Kheri 'Sebbo' ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuchezea Azam FC.

Beki Mzanzibari, Abdallah Kheri 'Sebbo' ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuchezea Azam FC. Sebbo amesaini mkataba huo leo mbele ya Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin ‘Popat’ na sasa ataendelea kupiga kazi timu ya Alhaj Sheikh Said Salim Bakhresa na familia yake hadi mwaka 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live