Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam wamnyatia Golikipa Mkenya

Patrick Matasi Patrick Matasi

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya Azam umeanza mazungumzo na Mlinda lango wa timu ya Taifa ya Kenya na klabu ya Polisi Kenya Patrick Matasi.

Uongozi wa klabu ya Azam umeanza mazungumzo na Mlinda lango wa timu ya Taifa ya Kenya na klabu ya Polisi Kenya Patrick Matasi. Chanzo Chetu kilithibitisha kuwa , Patrick Matasi ambaye kandarasi yake inatamatika mwishoni mwa Msimu huu bado hajaonyesha nia ya kuongeza kandarasi na Waajiri wake hao na tayari zipo taarifa zikithibitisha kuwa mwishoni mwa msimu huu anaweza kujiunga na klabu ya Azam endapo mazungumzo yataenda sawa kama walivyoanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live