Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam nao waanza kutoa Thank You, waanza na Daniel Amoah

Azam Nao Waanza Kutoa Thank You, Waanza Na Daniel Amoah Azam nao waanza kutoa Thank You, waanza na Daniel Amoah

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki Daniel Amoah amekuwa mchezaji wa kwanza kuachwa na klabu ya Azam.

Klabu za madaraja mbalimbali nchini zipo katika harakati za kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano baada ya dirisha la uhamisho na usajili kufunguliwa mwezi huu.

“#ThankYou Ahsante kwa utumishi wako wa miaka nane ya nguvu ukiipigania nembo ya klabu yetu, aliyekuwa nahodha wetu, Daniel Amoah. Thank you for your memories, Amoah! ????????????,”imesema taarifa ya Azam kupitia mitandao yake ya kijamii.

Azam imeshika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofikia tamati Mei 28, 2024 hivyo kukata tiketi kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live