Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam kutesti Mitambo na Gor Mahia

Azam Vs Gor Mahia Azam kutesti Mitambo na Gor Mahia

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kufanya ziara nchini Kenya kwa ajili ya mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Gor Mahia Novemba 19 Uwanja wa Moi Kasarani Jijini Nairobi, ambao utachezwa Saa 10:00 jioni – ikiwa sehemu ya maandalizi ya mchezo wake ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Novemba 24 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live