Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam kutema wawili Januari

Djuma Shaban Azam FC.jpeg Azam kutema wawili Januari

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam ina mpango wa kuachana na wachezaji wale wawili kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi January ili kupisha usajili wa beki wa zamani wa Yanga Djuma Shaban na Mlinda lango wa Tabora United raia wa Nigeria John Noble.

Klabu ya Azam ina mpango wa kuachana na wachezaji wale wawili kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi January ili kupisha usajili wa beki wa zamani wa Yanga Djuma Shaban na Mlinda lango wa Tabora United raia wa Nigeria John Noble. Noble akisajiliwa na Azam atakuwa analipwa zaidi ya Million 21 mara tatu zaidi ya mshahara anaolipwa Tabora United, kwasasa analipwa Million 7.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live