Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam kukipiga na Rayon Sports 'Rayon Day'

Azam Wacolombiaz Azam kukipiga na Rayon Sports 'Rayon Day'

Wed, 31 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wana lambalamba Azam FC wanatarajia kukipiga na timu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda katika kilele cha timu hiyo “Rayon Day” mjini Kigali.

Ni katika sherehe ambayo itaweza kufanyikia katika uwanja wa Amahoro baada ya uwanja huo kufanyiwa marekebisho ili kupokea mechi za Kimataifa.

Azam FC itakayocheza na Rayon Sports ndiyo itakayokipiga na APR FC katika mechi za hatua ya awali ya Mashindano ya klabu bingwa Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live