Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam kuendelea na mwendo wa 5-0 leo?

Azam Kuendelea Na Mwendo Wa 5 0 Leo Azam kuendelea na mwendo wa 5-0 leo?

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC wanashuka dimbani kwa mara nyingine leo ikiwa ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC 2023-24 katika dimba lao la nyumbani la Azam Complex, Chamazi jiji Dar.

Alhamisi iliyopita Desemba 7, 2023, Azam walimshushia mvua ya magoli KMC 5-0 hivyo leo huwenda wapinzani wao wa leo JKT Tanzania wakawa na kazi ya kufanya kuwazuia Azam ambao gari limewaka.

Kwenye msimamo, Azam wako kileleni wakiwa na alama 25 wakiwa wamecheza 11, mbili zaidi kwa Yanga na tatu zaidi kwa Simba SC, na alama zao 16 huku JKT wakiwa nafasi 8 na alama zao 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live