Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam Yapiga Mtu 4G

Azam Winner Azam Yapiga Mtu 4G

Sat, 22 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KLABU ya Mpira wa Miguu Azam FC imenyakua pointi tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4 bila dhidi ya Tanzania prisons katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.

KLABU ya Mpira wa Miguu Azam FC imenyakua pointi tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4 bila dhidi ya Tanzania prisons katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. Magoli ya Azam yalifungwa na Tepsie 27’, Ismail 69’, Ajibu 71’ na Zulu 83’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live