Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam TV wayafuta mahojiano yao na Mayele

Mayele Try Again Azam TV wayafuta mahojiano yao na Mayele

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kituo cha Habari cha Azam TV kimefuta mahojiano waliyofanya na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii baada ya klabu ya Yanga kuripotiwa kuitaka Azam TV kufanya hivyo.

Kituo cha Habari cha Azam TV kimefuta mahojiano waliyofanya na mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele katika kurasa zake zote za mitandao ya kijamii baada ya klabu ya Yanga kuripotiwa kuitaka Azam TV kufanya hivyo. Mahojiano hayo yaliyonukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini yalijikita katika kuichafua klabu ya Yanga pamoja na mpira wa Tanzania kiujumla na kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa wafuasi wa soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live