Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam, Singida vitani kwa Straika Mkenya

GLyXVsAXEAAh ID Azam, Singida vitani kwa Straika Mkenya

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC na Singida Black Stars zipo kwenye vita ya kuwania saini ya Mshambuliaji wa Kimataifa wa Kenya na Klabu ya Gor Mahia, Benson Ochieng (22) kwaajili ya kumsajili kwenye dirisha kubwa.

Klabu ya Azam FC na Singida Black Stars zipo kwenye vita ya kuwania saini ya Mshambuliaji wa Kimataifa wa Kenya na Klabu ya Gor Mahia, Benson Ochieng (22) kwaajili ya kumsajili kwenye dirisha kubwa. Ochieng ndiye kinara wa magoli Ligi Kuu Kenya akiwa na magoli 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live