Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yawatema wawili

EFC43A2F DA19 4C8A A077 0985D3061258.jpeg Azam FC yawatema wawili

Fri, 30 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam imetangaza kuachana na wachezaji Ahmed Salula na Shaaban Chilunda.

Kupitia kurasa zake rasmi Azam imesema: “#ThanksYou Ahsanteni sana kwa utumishi wenu uliotukuka ndani klabu yetu.Tunawatakia kila la kheri katika maisha yenu mapya ya soka, popote muendapo. Thank you @ahmed_salula x @chilunda43!????.”

Ahmed Salula alisajiliwa Azam Agosti 3, 2021 akitokea KMKM ya Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live