Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yawachapa Zimamoto mechi ya kirafiki Chamazi

Azam FC Vs Zimamoto Azam FC yawachapa Zimamoto mechi ya kirafiki Chamazi

Sun, 24 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Zimamoto ya Zanzíbar katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam.

Timu ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Zimamoto ya Zanzíbar katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC yamefungwa na mawinga wake hatari, Muivory Coast Kipre Tiagori Emmanuel Junior Zunon dakika ya 10 na Iddi Suleiman Nado kwa penalti dakika ya 59. Kwa upande wao Zimamoto bao lao pekee la katika mchezo huo limefungwa na mshambuliaji Ibrahim Hamad Ahmada ‘Hilika’ dakika ya 28.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live