Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yatambulisha wawili bechi la ufundi

Azam FC Makocha Wawili Makocha wa Azam waliotambulishwa leo mbele ya Kocha Mkuu Dabo na CEO Popat

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC imetangaza wataalamu wawili wapya kwenye benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Yousuf Dabo.

Waliotambulishwa ni, Khalifa Ababakar Fall (wa pili kutoka kulia), kuwa Kocha mpya wa Makipa na Ibrahim Diop, kama Mchambuzi wa mechi (Video Analyst), wote raia wa Senegal.

Wataalamu wote wawili wamesaini mkataba wa miaka mitatu kila mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live