Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yashusha Kocha Mpya

FgOF CxXEAA04IU Dk. Moadh Hiraoui

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtunisia. Dk. Moadh Hiraoui amewasili kuwa Kocha mpya wa mazoezi ya viungo katika klabu ya Azam FC.

Dk. Moadh Hiraoui. mwenye wasifu mkubwa, amewahi kufanya kazi na vigogo wa Afrika, Esperance ya Tunisia na Al Hilal ya Sudan.

Hiraoui mwenye PhD ya Sayansi ya Michezo na Afya, pia amewahi kufanya kazi Falme za Kiarabu (UEA) katika timu ya Dibba Al-Hisn na Hajer FC ya Saudi Arabia.

Tayari mtaalamu huyo ameshaanza kazi, akiwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja, wenye kipengele cha kuongeza.

Moadh, anachukua nafasi ya Mikel Guillen, ambaye kwa sasa hayupo tena na klabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live