Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yaridhia maombi ya Dube kuvunja mkataba

Prince Dube 1 Azam FC yaridhia maombi ya Dube kuvunja mkataba

Sat, 29 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imeridhia maombi ya mshambuliaji wake Prince Dube ya kuvunja mkataba wake na klabu hiyo ambayo aliyatoa mnamo mwezi Machi.

Taarifa ya Wanalambalamba hao imebainisha kuwa hatua hiyo imekuja baada ya mchezaji huyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live