Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yapigwa na APR, yaondolewa michuano ya CAFCL

Azam Fei Lwanga Blanco 0004 Azam FC yapigwa na APR, yaondolewa michuano ya CAFCL

Sat, 24 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imetolewa katika Raundi ya awali ya Kufuzu Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 mara baada ya kupokea kichapo cha jumla ya mabao 2-1 dhidi ya APR.

FT: APR 2-0 Azam

Aggregate: 2-1.

APR watakutana na kina Klabu ya Pyramids ya nchini Misri hatua inayofuata ya mtoano.

Una lipi la kuwashauri Azam?

#CAFCL

Chanzo: www.tanzaniaweb.live