Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yamtema beki wa kati

Mbala Azam FC Yvan Mballa

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, klabu ya Azam FC imeachana na beki wake wa kati Yvan Mballa.

Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, klabu ya Azam FC imeachana na beki wake wa kati Yvan Mballa. Mballa alijiunga na Azam FC msimu uliopita akitokea Forest Rangers ya Zambia, kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live