Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yamtangaza kocha mpya mrithi wa Dabo

Kocha Azam 0001 Azam FC yamtangaza kocha mpya

Sun, 8 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC imemtangaza Rachid Taoussi raia wa Morocco kuwa Kocha Mkuu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Azam FC imemtangaza Rachid Taoussi raia wa Morocco kuwa Kocha Mkuu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja. Taoussi, ameenda na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live