Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yalazimishwa sare Jamhuri Dodoma

IMG 5943.jpeg Mchezo ulimalizika kwa sare ya bila kufungana

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Dodoma FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Wenyeji, Dodoma FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kwa matokeo hayo, Azam FC inafikisha pointi 10 katika mchezo wa nne na kupanda mwa Ligi Kuu ikizizidi pointi moja moja zote Simba na Yanga ambazo zimecheza mechi tatu kila moja. Kwa upande wao, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi tano katika mchezo wa nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: