Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yaiwahi Coastal Union Mwanza

Azam FC Mwanzaaaaaa Kikosi cha Azam FC kikiwasili Mwanza

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Azam FC leo asubuhi kimeingia Jijini Mwanza tayari kwa pambano lao la Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB.

Kikosi cha Azam FC leo asubuhi kimeingia Jijini Mwanza tayari kwa pambano lao la Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB. Kikosi hicho kimeenda Jijini humo kwa ajili ya pambano lao dhidi ya Coastal Union litakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live