Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Azam FC yaifikia Yanga kileleni Ligi Kuu

Azam FC Yaifikia Yanga Kileleni Ligi Kuu.jpeg Azam FC yaifikia Yanga kileleni Ligi Kuu

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC wamefanikiwa kuifikia Yanga SC kileleni baada ya kushinda 4-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC.

⚽️ 29” Lyanga ⚽️ 62” Feisal ⚽️ 64” Feisal ⚽️ 69” Kipre

⚽️ 84” Martin (p)

Baada ya ushindi huo, Azam imefikisha alama 43 na kuwafikia Yanga ambao bado wapo kileleni kwa tofauti ya goli moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live